
Chama cha Mapinduzi CCM Kimewateuwa Rais John Magufuli, Dkt. Ally Mohammed Shein na Ndugu Philip Mangula , kuwa wagombea katika nafasi za chama cha Mapinduzi. Kupitia kwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, kimetoa taarifa kwa wanachama na umma kwa jumla kama inavyosomeka hapa chini


0 MAONI YAKO:
Post a Comment