Kwa mashabiki wa mwana Muziki French Montana hii inawahusu, Jamaa tayari ameachia ngoma nyingine mpya inaitwaFamous. Video ya wimbo ishakamilika tayari bofya hapa chini kuitazama na kudownload
SHAA ALA MKATABA NA SAIDI FELLA
Msanii
wa kike kutoka Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufanya muziki wowote
'Shaa' ametia wino kwenye mkataba wa miezi sita na Saidi Fella kupitia
Mkubwa Na Wanawe. Saidi Fella amesema leo kupitia sammisago.com…Read More
NAY WA MITEGO AHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA
Rapper Nay Wa Mitego amesema amekuwa
akisumbuliwa mno na maafisa usalama pamoja na vyombo mbalimbali vya
habari wanaomdhania kuwa anajihusisha na biashara ya madaya ya kulevya
kitu ambacho amekuwa akikanusha kwamba si…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment