Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha
Demokrasiana na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urasi wa Jamhuri ya Muungano kupitia umoja wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa amesema kuwa
alikwenda Ikulu baada ya kuitwa na Rais John Pombe Magufuli akimtaka
arudi CCM lakini alimjibu kuhama kwake hakubahatisha.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment