February 21, 2018

Image may contain: 1 person, hat  
Mkuu wa Wilaya ya Pangani Zainab Abdallah kupitia ukurasa wake wa Instagram amempongeza mume wake Abdul Mohamed kwa kuoa mke wa pili.
"Kwa kuwa dini yetu ya Kiislam inaruhusu, wazo lilitoka kwangu, kulingana na majukumu yangu nalazimika mda mwingi kuwa mbali hivyo mume wangu anakosa huduma za msingi"



Image may contain: 2 people, people smiling, close-up
 No automatic alt text available.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE