February 17, 2018

 
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Ramadhani Kailima, amekitaka kituo cha Runinga cha ITV, Kuiomba radhi tume ya uchaguzi kwa kukiuka utaratibu uliowekwa na tume hiyo wa kuviongoza vyombo vya habari jinsi ya kufanya kazi yake katika uchaguzi mdogo wa marudio jimbo la Kinondoni na Siha. Aidha Kailima amebainisha kuwa mbali na kituo hicho kuomba radhi, tume ya taifa ya uchaguzi inajipanga na itafuta taratibu za kisheria kukishtaki chombo hicho cha habari.

                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE