
Baada ya mwanamuziki Ally Kiba, kugunga ndoa siku ya Alhamisi iliyopita, tukio hilo limekuwa njia ya mdogo wake na Ally bwana Abdu Kiba amabaye naye pia ni msanii wa Bongo Fleva, kufanya maamuzi kama hayo kwa kufunga ndoa na bibie Rwaida. Tazama hapa chini jinsi Abdu akifungishwa ndoa hiyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment