Wasanii na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika viwanja vya Leaders
Club Kinondoni kwa ajili ya kuuaga Mwili wa Agnes Gerald maarufu
Masogange aliyefariki Siku ya Ijumaa katika Hospitali ya Mama Ngoma Dar
Es Salaam . Mwili WA marehemu utasafirishwa baadae leo kuelekea Mbeya
kwa ajili ya mazishi. Tutakukumbuka Agnes, pumzika kwa Amani
Serikali kufumua mitaala ya vyuo vikuu, ufundi stadi
-
SERIKALI inakusudia kufanya mapitio katika mitaala na programu za vyuo
vikuu na vyuo vya ufundi stadi ili kuzifanyia maboresho kwa lengo la
kuhakikisha wah...
41 minutes ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment