April 22, 2018

Image may contain: 7 people, people smiling 
Mahasimu wawili katika uwanja wa muziki wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, wamekutana katika Viwanja vya Leaders Club katika shughuli za kuuaga mwili wa msanii mwenzao Agnes Masogange. Katika picha iliyonaswa na Camera ya Millardayo imeonesha msanii Diamond akimpa mkono Kiba. katika hatua nyingine, mwanamuziki Ally Kiba amenena mambo mazito juu ya tukio la msiba uliowakuta Tazama hapa chini

                       

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE