Chama cha ACT Wazalendo makao makuu , kesho kitafanya mkutano na waandishi wa Hbari saa tano Asubuhi.
KESHO Alhamis,April 19/2018,Saa tano Kamili,asubuhi viongozi Wa Chama Cha ACT Wzalendo, watazungumza na waandishi Wa habari. Mahali:Makao Makuu ya Chama yaliyopo Sayansi Kijitonyama jirani na Kanisa la KKKT Muhimu kuzingatia Muda Abdallah Khamis 18/04/2018
SERIKALI YAAHIDI MAFANIKIO ZAIDI SEKTA YA HABARI
-
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Kelvin Kanje amesema kuwa
Serikali itaendelea kushirikiana na Wadau wa H...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment