May 10, 2018

  Image result for sugu aachiwa huru
Jeshi la Magereza nchini limetoa taarifa za sababu ya kuachiwa kwa Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) kabla ya miezi yake mitano aliyohukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi kumalizika.
Taarifa hiyo imeeleza kiundani zaidi, ikitoa sababu hizo kuwa Mbunge huyo ameachiwa huru kutokana na msamaha alioutoa Rais John Magufuli kwa baadhi ya wafungwa April 26 ya mwaka huu katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Soma taarifa hiyo hapa chini.

               

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE