
KUMEKUCHA Morogoro. lile shindano linalosubiliwa kwa hamu kubwa kabosa na wadau wa maswala ya urembo na mitindo nchini Tanzania la Miss Tanzania, pazi limefunguliwa rasmi kwa washiriki wa shindano hilo kwa mkoa wa Morogoro yaani Miss Morogoro 2018. Pazia hilo limefunguliwa rasmi siku ya jana katika ukumbi wa nyumbani park Kihonda mkoani Morogoro. Akizungungumza na waandishi wa habari, mkurugenzi wa kamati ya maandalizi mkoani hapa Farida Kulususu, amewataka wasichana wenye nia ya kushiriki, kujitokeza kwa wingi kwa aajili ya kuzaja form ambazo zinapatika bila malipo yoyote.
Farida amewahakikishia wadau na washiriki kwamba mwaka huu Miss Morogoro inakuja kwa ujio tofauti na kurejesha tumaini lililopotea kwa mashindano hayo mkoani Morogoro huku yakifahamika kama new Miss Morogoro 2018
Zaidi msikilize hapa chini akitoa ufafanuzi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment