Tuungane na HUSNA ABDUL (Dahuu) kuchangia JUZUU na MISAHAFU kwa ajili ya watoto wa madrasa. Kwa watu watakaoguswa kwa ajili ya kujenga kizazi kitakacho mjua Mwenyezi Mungu na kuijenga hofu ya mungu kwenye nafsi zao, Jukumu ni la kila mmoja wetu. Peleka msaada wako wa Msahafu au Juzuu katika ofisi za Clouds fm mikocheni mwisho wa kupokea juma pili tarehe 03/06/2018 lengo ni kukusanya misahafu 2000 kwa mawasiliano piga 0739750830, 0714243549, 0687842891.
.....
Tushirikiane kuijenga hofu ya Mungu kwenye nafsi zetu. Cc @iamosward @praf.paparaz

.....
Tushirikiane kuijenga hofu ya Mungu kwenye nafsi zetu. Cc @iamosward @praf.paparaz
0 MAONI YAKO:
Post a Comment