
Assalam alaykum. Tunakuletea live mashindano ya 19 ya kusoma Qur-an barani Africa. Mashindano haya yaliyoandaliwa na Al=Hikima Foundition,yanafanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam na mgeni Rasmi ni Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH: Majaliwa Kassim Majaliwa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment