June 15, 2018

 
Waislamu duniani kote leo hii wameswali swala ya Eid ul-Fitr 2018. Mkoani Morogoro licha ya misikiti Mingio kuendesha Ibada hiyo. lakini sisi tunakuletea Ibada iliyoswaliwa kati viwanja vya The Islamic Foundition jirani na Hilux Hotel Morogoro. Katika swala hiyo, hatib alikuwa ni Immam wa mskiti mkuu wa Haqq Shekh Twaa Ibrahim Twaa. Katika hutba yake Imman Twaa amewaasa waislam kupendana , na kujitahidi kuitunza amani ya nchi yetu na pia kupendezwa na Waislam wote kuswali swala hii kwa pamoja.

                              

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE