
Hospitali ya rufaa Bugando mkoani Mwanza imepata pigo kubwa sana baada
ya kuondokewa na Mkurugenzi wa fedha na mipango katika hospitali hiyo
baada ya kudaiwa kujirusha kutoka juu ya ghorofa.Inadaiwa mkurugenzi huyo alijirusha kutoka juu ya ghorofa hadi kufariki
dunia,mkurugenzi huyo kwa jina anajulikana kama Mtwana Suzan Bathlomeo.Mtwana alichukua maamuzi hayo ya kujiua kwa kujirusha kutoka juu
ghorofani baada ya kutoka Kanisani kusali misa ya saa 12:00 asubuhi ya
leo siku ya jumanne.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment