
Kimya kingi, kina mshindo muu hakika wahenga walisema. Ndicho walichokifanya wanamuziki wa muda kidogo kwenye Gmae. Bio na Issa E, kama utakumbuka nyimbo kama bibi, kaniulizia na Analalamika ndiyo nyimbo zao zilifanya poa sana wakati ule. Lakini sasa wamekuletea ngoma hii mpya iliyofanywa na Jini aka Mr. T. Touch pale Touch Sound na Jicho la kamera limechunguliwa na Msafiri Shaaban Ferous maarufu Travellah kutoka Kwetu Studio. Enjoy your time kwa kuitazama hii Video inaitwa nipoze Moyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment