September 15, 2018

 
Aliyewahi kuwa mtangazaji maarufu sana wa Radio nchini kupitia Radio One Stereo na ITV Dkt. Misanya Dismas Bingi maarufu Misanya Bingi amefariki Dunia. Taarifa za awali zinasema, misanya Bingi amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupata stroke na kupelekwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Misanya Bingi mpaka anafariki alikuwa Muhadhili chuo kikuu cha Dar Es Salaam UD.

 Mungu ialaze roho yake mahala pema peponi

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE