November 03, 2018

Image may contain: 2 people, people smiling, close-up 
 MwanaMmuzki kutoka mkoani Morogoro na kada wa Chama cha Mapenduzi, Selemani Abdallah Mutabazi Msindi Afande Sele kupitia ukurasa wake wa Facebook leo hii, amemtambulisha mtoto wake wa Kiume wa pakee anayeishi Jijini Mwanza Tanzania. Afande Sele amepa jina la Majiani mtoto huyo akitoa heshima kwa Producer P.Funk kwa mchango mkubwa katika mziki wake.
Image may contain: 1 person, eating, sitting, child and food 
Majani Selemani Msindi

"Ktk maisha yangu ya muziki niliweza kufika Mwanza mara nyingi zaid kuliko mkoa wowote ndani ya nchi yetu...lkn ukiniuliza ni kitu gani ninachojivunia kutoka Mz nje ya kufanya show za mziki na kukubalika kupita kiasi?....Jibu langu ni rahisi tu kwamba nilibahatika kumpata huyu mvulana mdogo mwenye miaka kumi sasa hivi ambae tangu akiwa tumboni mwa mama yake nilimpa jina la Majani kama heshima kwa producer wangu wa kihistoria aliyechangia kiasi kikubwa kufanya mimi niwe mwanamuziki...Huyu ndio kaka pekee wa kina Tundajema na Ahsantesanaa....yeye ndio mrithi wangu wa baadae....Majani Selemani Msindi...."

Mtoto huyo wa kiume ndiye anakuwa kaka pekee wa watoto Tundajema Selemani na Asantesanaa Selemani Msindi

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE