Watangazaji kutoka Clouds, Mbwiga Mbwiguke, Ziza Mona na Mkazuzu, wamefanyia maajabu wimbo wa mwana dada Maua Sama baada ya kufanyia cover kwa lugha ya Kisukuma. Wimbo wa Iokote ndiyo wimbo unaofanya poa sana kwa wakati huu kwa kuufanya kuwa kama ndiyo wimbo wa Taifa. Tazama hapa chini Video
Wami Ruvu hawana deni la Rais Samia katika kutunza vyanzo vya maji
-
BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu, imeendelea kuchua hatua stahiki katika
kuhakikisha inatekeleza agizo la Makamu wa Rais, Dk. Philipo Isory Mpango
kwa kup...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment