Walikuwepo akina Joseph Goebbels, Josef Mengele (angel of death)
,Hermann Goring walioamini katika kuua ili kumlinda Mungu wao Adolf
Hitler lakini waliishia kusikojulikana. Sitishwi, sitatishika na kikubwa
zaidi sikuzaliwa na chembe ya uoga mwilini mwangu.
Am ready for anything
0 MAONI YAKO:
Post a Comment