Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai
amemuandikia barua Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage
kumtaarifu kuwa jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Mbunge Joshua
Nassari (CHADEMA) liko wazi, kutokana na mbunge huyo kupoteza sifa ya
kuwa Mbunge kwa kutokuhudhuria vikao vya mikutano 3 ya bunge mfululizo. Soma zaidi taarifa iliyotolewa leo na Spika Ndugai.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment