Ifuatayo ni dira ya Dunia ya BBC inayokutangazia toka jijini London uingereza. Taarifa ya habari usiku wa leo 19 june 2019. Msomaji wako ni Zuhra Yunus
Ghana kuandaa mashindano ya Marathon kwa ajili ya amani
Ghana imezindua mpango wa maandalizi ya mashindano ya Millennium Marathon ya amani barani Afrika yatakayoanza tarehe 3 mwezi Septemba mwaka huu.
Mashindano
hayo yatakayobeba kauli mbiu ya ''Afrika Ipo Mbioni'', yanalen…Read More
BASATA yaonya wasanii dhidi ya matapeli
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote kuwa makini
na wakuzaji Sanaa (Mapromota) au baadhi ya wanaojiita wadau wa Sanaa
ambao wamekuwa …Read More
Nay wa Mitego – Shika adabu Yako (Behind The Scene)
Wimbo wa shika Adabu yako wa Nay wa Mitego ni moja ya nyimbo kubwa sana kwa sasa ndani na nje ya Tanzania. Licha ya BASATA kutoa kauli ya kuufungia wimbo huwo lakini sehemu kubwa ya burudani wimbo huwo unachezwa. K…Read More
Kimbunga Fiji:Waliofariki wafika 42
Idadi ya watu waliofariki kufikia
sasa katika janga la kimbunga kilichopiga kisiwa cha Fiji Jumamosi
iliyopita imepanda na kufikia 42.
Maafisa nchini humo wanahofu
kuwa huenda idadi hiyo ikapanda zaidi, kwan…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment