August 13, 2019

Kufuatia tukio la ajali ya Moto uliosababishwa na Roli la Mafuta na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 75 mkoani Morogoro, tukio lililotokea 10 August 2019 siku ya Jumamosi katika eneo la Msamvu, wasanii wa Hood Bangerz wameamua kuomboleza msiba huwo kwa kufanya wimbo wa pamoja unaoitwa Never Forget Moro

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE