Mwanamuziki na Mtangazaji Maarufu kutoka mkoani Morogoro MC Calvin Maarufu Zombie President, ameachia wimbo wake mpya kabisa uitwao R I P Ngwair. Wimbo wa R I P Ngwair ni wimbo unaoonesha mapenzi ya wazi kabisa kutoka kwa msanii huyo kumuhusu Mangwea ambaye amefariki takriban mika 6 sasa imepita. Hakika pengo la Ngwair halitazibika. R I P Ngwair
Bwege adai kutaka kuhongwa Sh. 100 milioni kuivuruga ACT
-
ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Suleman
Bungara ‘Bwege’...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment