October 13, 2019


Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka ishirini ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa. Mwanamuziki toka mkoani Morogoro Zombie ametuletea wimbo maalum wa maombolezo ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.

            

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE