Jimmy Flavour ni mmoja ya wasanii toka mkoani Morogoro. amefanya nyimbo kadhaa na zikafanya powa sana ndani ya Morogoro. nyimbo kama Zohari,usingoje nikifa, na kushirikishwa nyimbo kadhaa na msanii Agatha Mbale. Lakini kwa sasa ukizungumzia Hit song ndani ya Mkoa wa Morogoro, hutosita kuutaja wimbo unaitwa Watabamba. Huu wimbo umebamba kweli kwa Morogoro hasa kwenye Vigodoro, na Radio mbalimbali. Respect Kwako Jimmy , ngoma kali inabamba.
MKURUGENZI MKUU WA NSSF AONGOZA UTOAJI WA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII KATIKA
SOKO LA TEGETA NYUKI
-
Na Mwandishi Wetu,
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha
Mshomba, amesema hakuna sababu kwa mwananchi aliyejiajiri kus...
4 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment