August 24, 2019

SHIRIKISHO AFRIKA: AZAM FC hiyo hatua ya pili, yaichapa KENEMA 3-1 

Klabu ya Azam imefuzu hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Chamazi Complex, Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na Richard Djodi, aliyefunga mabao mawili katika dakika za 23 na 31 na Chirwa akafunga bao la tatu dakika ya 59 wakati bao la Kenema likifungwa na Mujib Kassim dakika ya 37. Azam wanafuzu round ya pili kwa Agg 3-2 baada ya mchezo wa kwanza nchini Ethiopia kufungwa bao 1-0.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE