Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe, Dkt. Abdulaziz M. Abood ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kugawa vizimba katika Soko la Machinga Complex lililopo maeneo ya FIRE kwa watu na wafanyabiashara waliokusudiwa na ambao wanahitaji vizimba hivyo ili kukuza na kuboresha mitaji ya wafanyabiashara wadogo.Mhe Abood ametoa kauli hiyo katika...
THE RUNNERS TANZANIA YAZINDUA MSIMU WA TANO WA ABSA DARCITY MARATHONI 2025
-
*********
Na Mwandishi wetu....
The Runners Tanzania wamezindua rasmi Absa Dar City Marathon 2025, ikiwa ni
msimu wa tano wa mbio hizo, zitakazofanyika...
5 hours ago