August 30, 2012


  Pumzika  kwa  amni

 
Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngulume amefariki dunia leo asubuhi Jijini Dar es Salaam kwani Mama Hawa Ngulume alikuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.....Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE