August 29, 2012


Habari ambazo zimesambaa mtaani hasa  Jijini Dar es salaam, zinamhusu msanii wa muziki wa kizazi Ali Kiba, inasemekana kwamba Hivi karibuni Familia yake inayoishi Kariakoo karibu na Club ya Soccer ya YANGA, eti walivamiwa na Majambazi/ Wauaji huku wakiwa na Silaha za Moto/ Bunduki, sasa inasemekana mpaka sasa hivi kuna mwanamke amekamatwa akihusishwa na Tukio hilo na inasemakana kwamba Jeshi la Polisi lilipo Jaribu kumhoji Mwanamke huyo akajibu kuwa eti wametumwa na Msanii Khalid Mohammed/ TID eti wakamuue Ali Kiba, Mwanamke huyo anashikiliwa na Polisi na Leo TID ameitwa Polisi kwa mahojiano zaidi, tulipojaribu  kuongea na Pande zote Mbili TID na Ali Kiba, Tid alijibu yeye hajui chochote na anashangaa kuhusishwa na Tukio hilo ukizingatia yeye hana beef yoyote na Ali Kiba, na Upande wa Ali Kiba  wakasema muda ukifika ndio watatoa Taarifa rasmi kwa umma

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE