ZERO FT. MR. BLUE (NEW JOINT RELEASED)
New talent kwa jina la Zero kutoka Mkoani morogoro. Ni masanii ambaye
kwa kweli naweza sema ni wa pili kwa uwezo wa ki-RnB mkoani Morogoro
ambaye anakuja kumuweka belle 9 katika wakati mgumu baada ya kuibuka na
kufanya ngoma kali inayoitwa SIKUELEWI akimshirikisha Mr. Blue a.k.a
Kabaisa.
Ngoma hii aliyofanya kwa kupitia studio za dirty Mode records chini ya
Producer Triss, ndani ya week 1 tangu kuachiliwa rasmi (Officially
released) tayari imeshaanza kufanya vizuri kupitia vituo mbali mbali vya
radio vya Nchini Tanzania.
Pia ukiachilia mbali Audio tayari msanii huyu ameshafanya bonge la VIDEO
kwa Company ya Show Biz Defined chini ya Usimamizi wa director Mike
Tee.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment