Hii ndio stage yenyewe itakayokupa nafasi ya kuwaona
wakali wako wa bongofleva kama Mwana Fa, Godzila, Rich Mavoko, Recho,
Juma Nature, Ben Pol, Nikki wa Pili, Mabeste, Shilole na wengine, kadi
ya mwaliko utailipia elfu 5 tu kuanzia saa 12 kwenye uwanja wa Ally
Hassan Mwinyi, Asante Sebastian Maganga kwa picha.
VIJANA WA UVCCM MKOA WA SHINYANGA WATAKIWA KUIMARISHA UMOJA NA USHIRIKIANO
ILI KUJENGA CHAMA IMARA
-
*Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga, Benard Werema akiwa katika picha ya
pamoja na vijana wenzake*
*Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa...
10 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment