Rose Muhando
Mkali wa muziki wa Injiri Tanzania Rose Muhando, anataraji kujenga kituo cha kulelea watoto ytima mkoani Morogoro. Rose amesema ameamua kusitisha ata zoezi lake la kutoa Album kwnza kwani jukumu la kuwatunza hao watoto ni letu sote Rose anasema
"
"Ndugu
zangu ktk Bwana wengi wenu wananiulza kama ntatoa album yoyote baada ya
utamu wa Yesu,naomben kuwen na subira ntatoa lakni kuwen na subira
kdogo,KWA SASA NINA JUKTMU NIMELIANZA LA KUJENGA KITUO CHA KULELEA
YATIMA,MIMI KAMA MWANAMKE NIMEONA KWA NAFAS NILYONAYO NIWAJBKE
KUWASAIDIA WATOTO HAWA WASIO NA WAZAZ JAPO NI NGUMU LAKIN HATA MSAADA
WENU WA MUHIMU,NINAJENGA KITUO HIKI MOROGORO KIMESHAANZA
KUJENGWA,KUMBUKEN KUWALEA WATOTO WASIO NA MSAADA NI JUKUMU LETU
SOTE,NAOMBEN MSISEME NI MPANGO WA MUNGU WAO WAISH HIVO,LAHASHA KUNA NJIA
YA KUWASAIDIA,YATIMA HAWA HUENDA TUKIWASAIDIA WATAKUWA VIONGOZ WAZUR
WATULETEE MABADILIKO KTK NCHI,WENGNE NI WAINJILISHAJ JAPO KWA SASA
HATUWEZ TAMBUA HILI, HIVYO TUWAISAIDIE WASIJUTIE KWANIN WALIZALIWA,MIMI
KIVYANGU NLIGUSWA NIKAJITOA SADAKA KUTOA MSAADA WAMGU KADRI
NTAKAVOWEZA,NDUGU ZANGU KAMA NA NYINYI MNAGUSWA KWA UPANDE FULAN NAOMBEN
MNISUPPORT NAOMBEN CHANGIEN CHOCHOTE MLICHONACHO KUENDELEZA UJENZ WA
KITUO HIKI. Tubuni na kuiamin injili kwan ufalme wa Mungu
umekaribia.AMEEN!
Akitia story na ubalozinirespect kuhusu maeneo ya ujenzi akajibu kwamba Maeneo ya Pangawe Station nje kidigo ya Morogoro.
Bg up kwako.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment