October 17, 2012

Msanii wa  muziki  wa  bongo fleva    toka  mkoani  Morogoro  CHRISSS WAMARYA, amewaibukia  mashabiki wake   kwa  kuwaomba  msamaha    kama  kuna  makosa  yoyote  mbele  yake.Akiandika  katika  ukurasa  wake  wa  facebook  Chriss   amekili  kwamba  kama  binadamu  kuna  mapungufu  mbele  yake  na  hakukamilika,  hivyo  kuwataka  mashabiki  wake  na  wadau  kumsamehee kwa  lolote  alilotenda  mbele  yao.

"Najua inakuwaga ngumu sana kusema SAMAANI kwa watu wengi hapa duniani.Ila nikiwa kama Msanii na umarufu wangu wote leo hii napenda kusema hilo.
KWANZA NAPENDA KUOMBA MSAMAA KWAWOTE AMBAO NILIWAKOSEA KWA MAANA MOJA AU NYINGINE,KUAZIA WATU WA RADIO,TV NA MASHABIKI WANGU WOTE.
Nimejaribu kukaa na kuwaza jambo kama hilo ambalo libabusara sana katika jamii hii ya sasa.

 Hiyo  ni  kauli  ya  msanii  Chriss   Wamarya.  bg  up  kwake  kwani  haijawai  kutokea  kwa  msanii  yoyote  wa kibongo  kufanya  hivyo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE