BRENDA TESHA
KWA NIABA YA UBALOZINI CAMP, MACHAKU BLOG,
WAKALI WA MORO NA WAKALI WA MEDIA TZ. NAPENDA KUMTAKIA MAISHA MEMA,
KHERI NA BARAKA TELE, KTK MAISHA YAKE MPENDWA WETU, MKALI WA MEDIA,
BRENDA TESHA KWA KUTIMIZA UMRI WAKE WA KUZALIWA. AWE NA MAFANIKIO MAPYA
KTK MAISHA YAKE HAYA MAPYA ALIYO YAANZA LEO. AMUEPUSHE NA BALAA NA
KALA, CHUKI NA UHADUI VIMUEPUKIE MBALI.
safi sana.
ReplyDelete