Tala Vencha
Mkali wa Media Tala vencha akiwa na binti yake
Hatimaye usiku wa Jumaamosi ya Th 21/ oct/ 2012 mkali wa media Tanzania Muntala Talvencha, alifanikiwa kuitwa baba baada ya mkewe kujifungua mtoto wa kike. Akitia story na ubalozini Tala amesema amefurahi mkewe kujifungua salama na kufurahia zaidi maisha ya ndoa na Familia kwa jumla.
Mungu mbariki Tala na familia yake na umpe makuzi bora binti yake huyo.
Hapa akiwa amemkumbatia mwanaye.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment