Saudia inabeba dhima ya ajali ya winchi Makka
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Saudi Arabia inabeba dhima
ya ajali ya hivi karibuni ya winchi au kreni katika Masjidul Haram Makka
ambapo mahujaji zaidi ya 107 walipoteza maisha.
Hussein Amir Abdulah…Read More
Askari 110 wafukuzwa kwa tuhuma za ugaidi
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imesema kuwa, maafisa 110 wa vikosi
vya ulinzi wamefutwa kazi kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na magenge ya
kigaidi.Msemaji wa wizara hiyo amesema kuwa, maafisa hao ni kutoka
vikosi m…Read More
Arobaini ya Tiffah Septemba 20,maandalizi yakamilika.
Sherehe ya kutimiza siku 40 ya mtoto wa Staa wa Bongo
Fleva,Diamond,Tiffah inatarajiwa kufanyika Septemba 20 nyumbani kwa
‘’State House’’ Tegeta,pia inaandaliwa na kamati maalum ya watu watano.
Maandali…Read More
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment