
DAYNA AKIWA MZIGONI

Shangwe zilizidi alipobebwa

Wacheza show wake wakiwa makini

DAYNA NYANGE akimkabidhi tuzo nguli LADY JAY DEE kama msanii bora wa kike

Lamaar akimkabidhio tuzo ya producer bora P.funk majani

Yusuph Mlela akimkabidhi tuzo msanii bora wa kike MONALISA

Gadna G Habash akimkabidhi tuzo mama yake Kanumba kama

Tuzo ya msanii bora wa kiume ilikwenda kwa Prof jay, DJ CHOKA aliitwa kupokea kwa
niaba yake. Rais wa Manzese akimkabidhi DJ Choka kwa niaba ya Jay

BOB Jr naye kama kawaida yake hafanyi hajizi

RICH Mavoko hakoseagi kaka

Baghdadi Bonge kama kawaida yake
PICHA kwa hissani ya
djchoka.blogspot.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment