
Mfalme Sele Kiongozi wa watu poli
Kundi lililotamba katika mziki wa bongo freva toka mkoani Morogoli WATU POLI lililokuwa likiongozwa na Mfalme wa Rhymes nchini Afande Sele, lililopotea, sasa linakuja kivingine kabisa katika mziki wa bongo fleva.
Katika pita yangu niliingia studio za DIGITAL VIBES za hapa Morogoro na kukutana na wimbo wao mpya Utakaoitwa AMANI na UPENDO.
Lameck Ditto aliwahi kuwa watu poli
.
Akizungumzia wimbo huwo msanii MC KOBA , amesema ni bonge ya wimbo na ukweli utafaamika kuhusiana na kundi la watu poli, chamsingi amewaomba mashabiki wao wajipange ka watarajie makubwa toka kwao.
Kwa upande wa Fande Sele Mfalme, Simba mzee amesema, ujio huu wa watu poli ni ujio mpya na watanzania wataraji mabadilko katika sanaa
Ametaja baadhi ya mambo ni kufanya uzinduzi mkubwa sana wa kundi lao la watu poli, huku akiahidi kukusanya wasanii chipukizi na kuendeleza vipaji vyao
Afande Sele, Mc Koba na Lammeck Ditto
0 MAONI YAKO:
Post a Comment