
DJ CHOKA KATIKA POZ
Unapozungumzia mchango wa bongo freva kukua, ukiwataja wadau basi hutomuacha DJ maarufu Bongo na mmliki wa blog ya djchoka.blogspot.com
Kuna kila haja ya kumpongeza kwani leo hii mkewe amebahatika kujifungu mtoto wa kiume katika Hospitali ya LUGALO. mungu amjalie aweze kumlea katika mazingira adifu na kumpatia afya.
PICHA YA MTOTO WA DJ CHOKA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment