Mwana harakati juu ya kuutangaza utalii wa Tanzania na mmiliki wa blog ya ngwesa.blogspot.com inayohusika na maswala ya utalii na mali asili, ametunukiwa Degree yake ya kwanza ya utalii na ulisi wa mali za utamaduni katika chuo kikuu cha DODOMA ( U-DOM)
Ngwesa pamoja na wahitimu wengine wa chuo hiko walifanyamahafali hayo jana Tarehe 22 Chuoni hapo, huku yakihudhuliwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa awamu ta tatu Mzee Benjamini Mkapa
Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dodoma Mh.Benjamin William Mkapa akiongoza maandamano
Baadhi ya waathiri wa chuo kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye maandamano
Ngwesa wa katikati akiwa na wahitimu wa shahada ya Utalii wakiwa tayari kabisa kwa mahafali
Hapa Ngwesa akiwa na Joseph Lukaza wa Lukaza Blog
0 MAONI YAKO:
Post a Comment