Francis Cheka
Bondia maarufu nchini na nje ya nchi toka mkoani Morogoro Francis Cheka ameibuka na kumtupia shutuma Bondia mwenzake wa kimataifa Mike Iron Tyson kufuatia taarifa za kujibadilisha jinsia na jina na sasa akifahamika kwa jina la Michelle.
Akizungumz na mwandishi wa habari hizi cheka amesema, huku akionekana kuwa ni mwenye machungu juu ya uamuzi juwo wa bondia mwenzake
" Binafsi licha ya habari hizo kulipotiwa kwenye vyomba mbali mbali vya habari duniani kote lakini bado hakili yangu haiamini kama Tyson ninayemjua mimi anaweza kufanya ushenzi huo,ambao kimsingi umezalilsiha mchezo wa ngumi hapa dunia na kwamba kwa revo aliyofikia hapna shaka yoyote yeye ni kioo cha jamii kote dunia hivyo uamuzi wake huo unaweza kuwapotosha watu wengi kutoka mabara yote ya dunia likiwemo bara letu la afrika"
Tyson anayedaiwa kubadili jinsia
Habari zilizolipotiwa kwenye vyomba vya habari toka jana zilidai kwamba bondia Tyson kwa uamuzi wake mwenyewe ameamu kubadili jinsi na kuwa na jinsia ya kike na kwamba habari hizo zimezidi kudai kwamba bondi huyo nyota wa zamani alionekna mwenye furaha baada ya kutoa eda ya kila mwenye.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment