
Dayna Nyange
Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania mwanadada Dayna Nyange mkali wao, amedhamilia kuvuka boda na kuonesha dhamira yake ya kufanya Collabo na wanamuziki tok nje.
Akizungumza nami mjini Morogoro Dayna amesema kwa sasa yuko katika mpango wa mwisho wa kufanya wimbo na mdada anayetamba nchini Uganda na Africa mahariki anayefahamik kwa hjina la Cindy.
''Nna mpango wa kufanya nyimbo na wasanii tofauti wa kibongo na nje, lakini kwa sasa nipo katika mkakati wa kufanya wimbo na mdada toka Uganda anayefahamika kwa jina la Cindy ambaye naaminim tunafanana kwa kiasi kikubwa sana''. Amesema Dayna.
Cindy
Mdada Cindy anayefanya vizuri na nyimbo zake kama na wewe, Amateeka, Party New, One and only na nyingine kibao
Moja ya kazi yake inayofanya vizuri sana.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment