
Watangazaji
wa Clouds FM na Clouds TV pichan shoto ni Millard Ayo na Ben Kinyaiya
pichani kulia wakifanya mahojiano mafupi na Mwanamuziki Koffi Olomide
mara baada ya kuwasili.
Mwanamuziki nguli wa mziki wa bolingo toka Congo Koffii Charles Anthony Olomide amewasili jijini Dar es salam jana usiku akitokea nchini Congo tayari kwa show ya miaka 13 ya Kituo cha Radio cha Clouds Fm cha jijini Dar es salaam

Hapa akiwapungia mashabiki
Show hiyo itakayofanyika katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni, Jumamosi 15/12/2012, Koffi
Olomide Msanii Mahiri Kutoka DRC Atapigwa Tafu Na Bendi Mahiri Za Muziki
Wa Dansi Tanzania..Twangapepeta..Skylight Band..Mapacha
Watatu..Diamond Sound Band Na Wengine Wengi.
Show hiyo inafahamika kama Tusker Carnivore,Miaka 13 Ya Kuburudika Na Muziki Bora Wa
Bendi Kwa Hisani Ya Tusker..
Kiingilio kitakuwa ni Th: 10,000/= kama utakata mapema na
TSH: 15,OOO/= kama utakata mlangoni.
Vituo ni vya mauzo ya tiketi kwa show hiyo ni
1. Zizzou Fashions - Africa Sana
2. Big Born - Kariakoo
3. Steers - Posta
4. Shear Illusion - Mlimani City
2. Big Born - Kariakoo
3. Steers - Posta
4. Shear Illusion - Mlimani City
5. Min Argos Store - Msasani
6. TCC - Chang'ombe
7. Engen - Mbezi Beach
8. Clouds Media Group - Mikocheni
9. Mile Pamba - Mwenge
10. TinaMaria Boutique .- Millenium Tower
11. Robby One Fashion - Kinondoni Studio
12. Born To Shine - Mwenge Mkabala Na T.R.A
6. TCC - Chang'ombe
7. Engen - Mbezi Beach
8. Clouds Media Group - Mikocheni
9. Mile Pamba - Mwenge
10. TinaMaria Boutique .- Millenium Tower
11. Robby One Fashion - Kinondoni Studio
12. Born To Shine - Mwenge Mkabala Na T.R.A
0 MAONI YAKO:
Post a Comment