December 21, 2012




 Taarifa  za  kuachiwa  kwa  LULU  kwa  dhamana  si  za kweli  na  badala yake  kesi  yake  ndiyo  iliyohamishwa
 

 Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mwandishi wa habari wa Clouds FM, msanii wa filamu Elizabeth Michael maarufu Lulu hajatoka nje kwa dhamana bali kesi yake iliyosikilizwa leo kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itahamishiwa kwenye mahakama kuu ya Tanzania. Leo mashahidi zaidi ya sita wametoa ushahidi wao mahakamani hapo akiwemo yeye mwenye Lulu aliyesimulia jinsi tukio hilo lilivyo kuwa.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE