Kutoka katika studio za Digital VIbes Moro, chini ya mtu mzima GQ. Hatimaye Koba Mc wa watu poli amesambaza wimbo wake mpya. Akiuzungumzia wimbo huwo Koba amesema anataraji sapot kubwa ya wadau kuupokea wimbo wake huku akisema wimbo una vionjo vyote na ameamua kuwatendea haki mashabiki na wadau kwa jumla.
Sikiliza na Download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment