Familia ya THT ikiwa jukwaani wakati wa kusherehekea miaka 7 ya nyumba hiyo
DJ Bulla kutoka Clouds FM akikimbiza
Diva Loveness wa Clouds FM moja ya zao la T.H.T akiwasabahi mashabiki.
Shilole ndani ya stage
Hivi ndivyo ilivyokuwa jana ndani ya Dar live ni miaka 7 ya Tanzania house of talent(THT) toka ianzishwe




0 MAONI YAKO:
Post a Comment