
Msani wa muziki wa Hip Hop toka 254 Kenya Jua Cali au baba yao, amesema anakuja na albam yake nyingine itakayoitwa Tugange yajayo. Akizungumza na ubalozini.blogspot.com . Amesema
Album inaitwa TUGENGE YAJAYO.Inatoka nxt month May.Ikona 15tracks hio ni plus interludes.Nimeifanya yote calif records.
Blog hii ipo nawe pamoja san jua cali katika harakati hizi za music wa Arica Mashariki
0 MAONI YAKO:
Post a Comment