
Linex Sunday
Mwanamuziki anayefanya poa sana katika ardhi ya bongo, Linex Sunday Mjeda, amesema kwamba amefurahi sana kufanya kazi na mtu anayemzimia sana katika game hili. Linex ameandika katika ukurasa wake wa face book
"Siku ya leo imekua nzuri sana kwangu nimepiga kazi na mtu nnaemzimiaga kitambo linex ft wyre cumn soon but sita ahidi ni lini itatoka but saiz ndo kazi imeisha God is good"
Ameandika Linex
0 MAONI YAKO:
Post a Comment