BI KIDUDE ENZI ZA UHAI WAKE
Mwanamuziki wa zamani wa muziki wa mwambao kidude bint Baraka maarufu kama bi kidude, amefariki dunia. Taarifa zilizotufika hivi karibuni toka katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds fm. Taarifa za kifo chake tutazidi kuwaletea tutakapozidi fwatilia.
Pumzika kwa amani bibi yetu mpendwa, mungu kakupenda zaidi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment